Pas encore inscrit ? Creez un Overblog!

Créer mon blog
DL2A Buluu Publishing
D

DL2A Buluu Publishing

SIREN 801 114 968

Ses blogs

DL2A Buluu Publishing

Diffusion des littératures en langues africaines (DL2A) Buluu Publishing is a publishing house incorporated in Paris, France. The company is specialized in edition in African languages.
DL2A Buluu Publishing DL2A Buluu Publishing
Articles : 26
Depuis : 24/09/2021
Categorie : Associations & ONG

Articles à découvrir

Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe

Baraza ya majestic na machinjioni kwa bamkwe

🇹🇿 kwa lugha nyepesi ya kiswahili fasaha, kiunguja, ibrahim mohammed hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa rais wa kwanza wa iliyokuwa jamhuri ya watu wa zanzibar, na mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi, sheikh abeid amani karume. tukio hilo la siku ya ijumaa, tarehe 7 aprili 1972, liliigu
Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili

Usawiri wa ualbino katika fasihi ya kiswahili

Kitabu cha usawiri wa ualbino katika fasihi ya kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha mtazamo hasi dhidi ya ualbino na kujenga jamii inayojumuisha kila mtu. aidha, kitabu kinajadili
Shuwari

Shuwari

Book cover 🇹🇿 🇬🇧 haji gora haji, born in 1933 on the island of tumbatu, zanzibar, represents a living archive of poetic and philosophical knowledge, which is transformed into verses with a characteristic voice enriched by dialectal features (from tumbatu and unguja). as a recognition of his life-long commitment to swahili language and l
Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Kununuliwa kwa damu ya yesu

🇹🇿 kuhusu kitabu katika kurasa za kitabu hiki, tutajifunza kuhusu maana ya fidia ya dhambi, umuhimu wa damu ya yesu, na jinsi tunavyoweza kuishi kulingana na thamani ya ukombozi alioutupa. pia, tutachunguza jinsi damu ya yesu inavyotuletea ushindi, uhuru, na nguvu katika maisha yetu ya kila siku. kitabu hiki kina lengo la kuwaelimisha na kuwa
Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo

Bikira maria mama wa yesu kristo

🇹🇿 bikira maria mama wa yesu kristo ni kitabu kinachohusu historia ya mama bikira maria ikianza na maandalizi ya kuzaliwa kwake; maisha yake baada ya kuzaliwa; kuchaguliwa kwake na mungu baba kuwa mama wa mkombozi kupitia ujumbe wa malaika gabrieli; jinsi alivyomlea mwanae (yesu kristo) baada ya kumzaa; alivyoshiriki mateso hadi kifo cha mwan
My Grandpa's Garden, Zanzibar Poems

My grandpa's garden, zanzibar poems

🇬🇧 my grandpa's garden, zanzibar poems a presentation of a collection of poems, coupled with artistic photographs, produced by a brilliant zanzibar-born artist, photographer, author and theatrical producer, issak esmail issak. what started as individual friday greetings to close friends and family, later became a treasure trove that had to be
Maisha Yangu Na Ninayoyakumbuka

Maisha yangu na ninayoyakumbuka

🇹🇿 katika kitabu hiki, mohammed abdulrahman mkufunzi anafanya tafkari ya safari ya zaidi ya miongo sita ya maisha yake, akielezea yale anayoyakumbuka, kwa kuyasikia kutoka kwa wazee, kuyaona kwa macho yake na kuyaishi tokea utotoni mwake hadi utuuzimani. kitabu kimesheheni maelezo ya kihistoria yanayozihusu nchi tatu kuu muhimu zenye mnasaba
Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Mambo 15 tunayokosea wakati wa kuomba

🇹🇿 “mambo 15 tunayokosea wakati wa kuomba”, ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na mungu baba. pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu waliojibiwa maombi yao kwa kutumia mbinu ambazo mungu baba anataka tuzitumie wa
A Zanzibar architect’s unsung legacy

A zanzibar architect’s unsung legacy

🇬🇧 a zanzibar architect’s unsung legacy the story of ajit singh hoogan architect, artist, philanthropist, followed by sportsman and mp, the story of parmukh singh hoogan ajit singh, a zanzibar architect who also was a painter, a man of the arts, whose signature is on many an edifice in zanzibar, remains fairly unknown, little mentioned. not
Maisha yangu, Khamis Abdulla Ameir

Maisha yangu, khamis abdulla ameir

"maisha yangu: khaini au muhanga wa mapinduzi ya zanzibar?" ni kitabu kinachoeleza historia ya zanzibar ya hivi karibuni na vipi muungano baina ya zanzibar na tanganyika ulivyoanzishwa hadi kuwepo ... “maisha yangu: khaini au muhanga wa mapinduzi ya zanzibar?” ni kitabu kinachoeleza historia ya zanzibar ya hivi karibuni na vipi muungano baina y